If you're on Facebook and you are M'mbondo can you please join the Group KWETU FIZI on (www.facebook.com)
Even if we're living away, don't forget where you are from.
mangi wa mangi
lulobi
11-11-2008 17:05:00
hello eveyone babembe community. i read news about D R congo. if Tutsi rebellion oust kabila government then tutsi will seize and cut part of fizi and mwenga's territories to call large territory of minembwe. i know the tutsi community always do violent constitution of D R Congo. tutsi reduced bantu populations and clean tribes.
lulobi
10-11-2008 19:45:00
http://www.anthroposys.be/bwamenotes.htm
you may read it above
Basunga M'massa Jean
07-11-2008 08:11:00
Ukweli ni kua, kuna maoni mengi yanayo onyesha Wabondo mambo mengi yahusuyu mali zinazo patikana hapa Fizi. Nauliza Wabondo kua, mpaka sasa nini kinacho fanyika ili kuifadhi mali hiyo? Sababu, mali haizaake, na wenzetu wanaipora na kujitajirisha na mali hiyo. kwaiyo ningeomba Wabondo tusifanye kama vile kipepeo anavyo fanya, kuzibiti kinyesi (mavi) ambacho hakimfai kwa lolote. Vijana wetu hapa Territoire ya Fizi ni wazembe, wafanya siasa za chini ya miti na wanao zarau kila jambo kupita kiasi.
Kwaiyo nafikiria kua, kati ya majibu kwa kujitoa katika umasikini huo, napendekeza yafuatayo:
1. vijana walio na nguvu, tungejitaidi kufanya kazi kwa bidii na kujitolea,
2. Acceptation mutuelle (maridhiano),
3. Kuacha ubaguzi usio faa,
4. Kujua na kuelewa Territoire yetu,
5. Kufuata mila na desturi nzuri za Wabondo.
Namaliza kutoa shukrani zangu za dhati kwa Wabondo wote wanao jitolea kwa kila hali na mali kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu.
Basunga M'massa Jean
(+243) 81 28 658 48
NYAMA-CABO SELEMANI
04-11-2008 06:59:00
Lengo langu ni kutaka kujua nini wa bambe tunajifikiriya kufuatna na mambo yanayopita huko kwetu. Sababu mpaka sasa hatujajua msimamo halisi wa serikali yetu na nia ya Laurent Nkunda. Je tutaendelea tunapigana kila siku bila kujua kinachoendelea? Tutaendelea kukubali kutawaliwa na wanyarwanda ao kudanganywa nao?
mangi wa mangi
31-10-2008 14:54:00
Why people are so quiet these days,
we need to read more from you Brothers
aoci dieudonnee
06-10-2008 14:40:00
brothers and sisters unity and creation of university, bank, strong regime, protecting land of Fizi and Itombwe community are found in South Kivu. defend yourself.
asmani aluta
28-09-2008 21:54:00
hi bembe community, you may create wealthy and found your own mbondo university and mbondo bank in fizi, south kivu. protecting babembe community.
mangi wa mangi
26-09-2008 14:15:00
alembe a yesu abe nenu bose
Wilondja Ndabelo Joh
04-09-2008 09:26:00
Ninashukuru kila mara ninaposoma mawazo na maoni ya ndugu zangu wote. Kweli kama tunavyoandika ndivyo tutakavyofanya maana yake hata USA haina kitu mbele yetu. Kuwa dola kubwa kisiasa na kiroho pia ni jambo la ajabu na linapashwa kushugulikiwa ili litimilike. Comme ma recommandation; soyons unis et aimons-nous les uns des autres et nous trouverons le bonheur que notre ABECA PUNGU nous reserve pour un avenir merveilleux. Tusiwe wasemaji tu bali tutimize tunayosema,hiyo itatusaidia. Mutambue kama gouvernement ya Congo haina mawazo juu ya FIZI ese 'ya BABONDO na watu wote hao wanasahahu kama ni kwa ajili ya wana wa Kalembelembe ndiyo maana Congo wana haka ka amani kadogo...tujikaze keleta sisi wenyewe maendeleo na kujenga mkowa wetu. Ninawasihi sana muzidi kutuombea Mungu wa Mababu zetu ili huku tunakosomea tupate kibali machoni pa wakuu viongozi wa mashule na kuweza kuendelea vema. Bila maombi yenu,hatuwezi kuwa jinsi tunavyofikiri kuwa. ABECA PUNGU A BABONDO ATUHELELE BECUTUBOSE.Namuko.